UPONYAJI WA AFYA (UZIMA) 1 THES 5:23
1) Mungu
anapenda kuona watoto wake wakiwa na afya na uzima siku zote kama
sisi tunavyopenda kuona watoto wetu wakiwa wazima na afya njema siku zote
kiafya, kiakili, nafsi , roho na mwili.
a. Kazi
ya shetani ni kuharibu afya zetu siku zote
b. Yesu
aliturudishia afya zetu msalabani, kufufuka kwake kwaonyesha ushindi kwa
mwanadamu dhidi ya dhambi na magonjwa yote.
i.
Dhambi ndio chanzo cha magonjwa yote
ii.
Shetani alinyang’anywa mamlaka yote, Mungu
akaturudishia afya zetu kwa kushinda kifo na mauti
iii.
Shetani hutuwazia mabaya siku zote, ila Mungu hutuwazia
mema siku zote (uzima).
2) Dhambi
ya anguko la mwanadamu ilileta madhara makubwa sana
kama ifuatavyo;
a) Macho
ya kiroho yalipotea Efe 1:8; Math 6:22-23
b) Hikima
ya Mungu ilipotea 1 Kor 2:6-7
c) Uzima
ulisitishwa Mwz 3:1-10
d) Ushirika
kati ya Mungu na mwanadamu ulipotea
e) Akili
zilipotea 1 Petr 4:7.
No comments:
Post a Comment