Saturday, 8 August 2015

KUJIFUNZA MAANDIKO MATAKATIFU


    Muda sio mrefu nitaanza kukuletea mtiririko wa masomo mbalimbali wa masomo ya kujifunza maandiko matakatifu.

Ni mimi Mchg Lazaro Emanuel Mpinga

Wa kanisa la EAGT PATMO HARKA

Mbulu mjini karibu na msikiti wa zamani barabara kuu ya lami iendayo Arusha kupitia Magara

No comments:

Post a Comment