Ni Mchungaji wa kanisa la EAGT PATMO HARKA ambalo lipo maeneo ya Mbulu mjini karibu na msikiti wa zamani maeneo ya Harka.
Kabila ni mnyiramba, kutoka Singida Iramba- Kiomboi
Familia ni mke mmoja anaitwa Debora Lazaro pamoja na watoto wanne (4)
1. Neema Lazaro
2. Emanuel Lazaro
3. Anna Lazaro
4. Joshua Lazaro
No comments:
Post a Comment