UKENGEUFU WA WALOKOLE WA SASA
1) MAANA YA UKENGEFU WA SASA 1 Tim 4:1-4; 2 Tim 3:1-8
a. Kukengeuka na kuacha njia ya Bwana. 1 Tim
1:18-20
b. Kuishi kinyume cha Mungu. Galatia 1:6-9
i. Maisha ya dhambi
ii. Kukosa utii kwa Mungu
iii. Kutofanya mapenzi ya Mungu
c. Kuacha maadili mema ya kiroho
i. Kuishi kinyume cha awali
ii. Kuchukua mambo mageni
iii. Kuhanguka kiroho
2) UKENGEFU UNAVYOANZA KWA MTU
a. Kufuata mambo ya dunia
i. Elimu na ujuzi wa kiulimwengu
ii. Kufuata hadithi na michezo ya mipira
iii. Kutotii neno laMungu
iv. Kuacha ibada na maombi
v. Mazoea ya kiroho na ibada
vi. Hofu ya Mungu kutoweka ndani ya mioyo
b. Kudharau watumishi wa Mungu
i. Kubagua huduma
ii. Kuwa na mtazamo wa kimwil
3) BAADHI YA WATU
WALIOKENGEUKA
A. SAULI
I. Alikosa utii kwa Mungu
II. Alikosa uaminifu
III. Alikosa hofu ya Mungu
B. SAMSONI
I. Kwa
sababu ya wanawake
II. Kwa tama zake
za udanganyifu
III. Kwa sababu ya
kupenda anasa
4) UKENGEUKU KWA KINA MAMA
a. Kwa
mavazi yao 1
Tim 2:9-11
b. Katika ndoa zao
i. Wanapenda
maisha ya raha
ii. Hawapendi
kufanya kazi
5) UKENGEUFU KWA KINA BABA
a. Kukosa
uaminifu katika Ibada
b. Wametingwa na
shughuli za kutafuta pesa
c. Wanapenda kukaa
kwenye bao na michezo ya mipira
i. Kupenda mabinti wadogo
ii. Kutotunza familia zao vizuri
5) UKENGEUFU KWA WACHUNGAJI
a. Ubinafsi
na uchoyo
b. Kukosa upendo
c. Kiburi cha uzima
i. Kuacha kusudi la wito wao
ii. Kufundisha utoaji bila utakatifu
iii. Kupenda utukufu
iv. Kuanguka
6) HITIMISHO
a. Hivyo
kanisa lipo katika hali ngumu sana
kulingana na ukengeufu huu
b. Twapaswa kukesha katika maombi saa
zote
i. Neno la Mungu ndio silaha kuu
ii. Kudumu katika upendo wa kimungu
iii. Uvumilivu ndio tabia ya watu wa Mungu.
No comments:
Post a Comment