EAGT PATMO HARKA
Karibuni watu wote katika ibada zetu za kanisa la EAGT PATMO
HARKA
Bwana yupo upande wetu kututumia kwa huduma mbalimbali kama ifuatavyo;
- Kwa kuombea wagonjwa wenye shida mbalimbali
- Mahitaji ya maisha
Usihofu kwa magumu unayokutana nayo
au uliyo nayo, Yesu atakutoa katika shida zote mpendwa
- Matatizo ya ndoa, Elimu na hasa kutoolewa na kutooa sio mpango wa
Mungu kuishi katika mazingira ya
uzinzi, njoo upokee muujiza wako
No comments:
Post a Comment