Tuesday, 25 August 2015

Neema Lazaro


  

ii ni Video ya Binti Neema Lazaro akitumbuiza kwa uimbaji ...

https://plus.google.com/113378934026688091830/posts/dZ1QtsSuESZ
4 Ago 2015 - Hii ni Video ya Binti Neema Lazaro akitumbuiza kwa uimbaji wakati wa semina ya Neno la Mungu katika kanisa la EAGT Sanu Baray Mbulu ...


Thursday, 13 August 2015

EAGT

E.A.G.T Church - Tanzania

tz.geoview.info/eagt_church,1400742098n
E.A.G.T Church is next to Lake Tandale and is located in Dar es Salaam, Tanzania. amenity: place_of_worship; denomination: pentecostal; religion: christian.

Mito ya Baraka

www.mitoyabaraka.or.tz/
The "Mito ya Baraka" Church (MBC) Under Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT), emerged from the former EAGT Mnazi Mmoja Mpya Church.

EAGT Sayuni Church - Arusha, Tanzania - Local Business ...

https://www.facebook.com/.../EAGT...Church/38550...
Bernard Charles Mangaru added a new photo — at EAGT Sayuni Church. October 20, 2014 ·. Bernard Charles Mangaru's photo. Share ...

MKOA WA MANYARA

 

Mkoa wa Manyara - Wikipedia, kamusi elezo huru

https://sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa_wa_Manyara
Mkoa wa Manyara umetengwa na Mkoa wa Arusha mwaka 2002 kwa azimio la rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa na eneo la km² 46,359.

Manyara Region - Wikipedia, the free encyclopedia

https://en.wikipedia.org/wiki/Manyara_Region
Manyara Region is one of Tanzania's 30 administrative regions. The regional capital is the town of Babati. According to the 2012 national census, the region had ...

Map of Manyara

Manyara




  • Lake Manyara - Tanzania National Parks

    www.tanzaniaparks.com/manyara.html
    Stretching for 50km along the base of the rusty-gold 600-metre high Rift Valley escarpment, Lake Manyara is a scenic gem, with a setting extolled by Ernest ...

    Tovuti Ya Mkoa wa Manyara

    www.manyara.go.tz/
    Manyara Regional Commissioner's Website, manyara Municipal Councils details, Manyara events,Manyara news, Local Government Authorities Manyara.

    Lake Manyara Serena Safari Lodge | Safari in Tanzania

    www.serenahotels.com/serenalakemanyara/default-en...
    The Lake Manyara Serena Safari Lodge official website. Experience panoramic views over Lake Manyara from the comfort of our luxury safari lodge.

    Lake Manyara - Tanzania Odyssey

    www.tanzaniaodyssey.com › ... › Northern Tanzania
    A safari guide to Lake Manyara with all lodges, video, prices, and reviews. Contact us in the UK or US and book in safety with the Tanzania Experts.
    .

    UPONYAJI WA AFYA (UZIMA) 1 THES 5:23 Mchg Lazaro Mpinga




    UPONYAJI WA AFYA (UZIMA) 1 THES 5:23

    1)      Mungu anapenda kuona watoto wake wakiwa na afya na uzima siku zote kama sisi tunavyopenda kuona watoto wetu wakiwa wazima na afya njema siku zote kiafya, kiakili, nafsi , roho na mwili.

    a.       Kazi ya shetani ni kuharibu afya zetu siku zote

    b.      Yesu aliturudishia afya zetu msalabani, kufufuka kwake kwaonyesha ushindi kwa mwanadamu dhidi ya dhambi na magonjwa yote.

                                                                  i.            Dhambi ndio chanzo cha magonjwa yote

                                                                ii.            Shetani alinyang’anywa mamlaka yote, Mungu akaturudishia afya zetu kwa kushinda kifo na mauti

                                                              iii.            Shetani hutuwazia mabaya siku zote, ila Mungu hutuwazia mema siku zote (uzima).

    2)      Dhambi ya anguko la mwanadamu ilileta madhara makubwa sana kama ifuatavyo;

    a)      Macho ya kiroho yalipotea Efe 1:8; Math 6:22-23

    b)      Hikima ya Mungu ilipotea 1 Kor 2:6-7

    c)      Uzima ulisitishwa Mwz 3:1-10

    d)     Ushirika kati ya Mungu na mwanadamu ulipotea

    e)      Akili zilipotea 1 Petr 4:7.



    Monday, 10 August 2015

    FOUNDATION HEAD OF SERVICE IS LOVE by Rev Lazaro Emanuel Mpinga

    FOUNDATION HEAD OF SERVICE IS LOVE1. Our service to be able to expand and grow we must love and divine rule persevere in our lives, without love even if you will not care how great, should be just and cooled down. 1 Corinthians 13: 1-8God used for redeeming love through love, had to give something to expensive (Jesus son)i. That was the love of cost, love must be accompanied by high costs, losses to get certain things. Jn 3:16ii. Many services have died out because of lack of fertilizer called loveiii. The arguments, gossip, envy and division in the ministry because of the lack of love that is the fruit of God
    2. God put a spirit of love in the Son (Jesus Christ). So the service of Jesus Christ, full of love always.Jesus loved even his enemies and pray for them.

    KUJUA YAKUPASAYO KUTENDA – MDO 10:6 na Mchg Lazaro E. Mpinga




    KUJUA YAKUPASAYO KUTENDA – MDO 10:6

    Mungu alivyokuumba hajakuumba akuache vilevile tu. Kwa mambo aliyoyaumba na kuyaweka kabla hujatoka tumboni mwa mama yako, ameandaa na ameweka tayari mambo yakupasayo kuyatenda katika maisha yako.

    1. Unaweza ukajiuliza mambo gani hayo?

    Kumbuka Kornelio alikuwa mwanadamu kama wewe, ulivyo mwanadamu, alikuwa na maswali kama wewe ulivyo na maswali mengi kama wayahudi, lakini aliambiwa kuwa na afanye mambo yampasayo kuyatenda.

    Kornelio alikuwa sio mpagani kama unavyofikiria, alikuwa ni mtu wa dini kama wewe ulivyo na dini. Sadaka itakutolea dhambi zako na kukupokea na jehanamu. Na yeye aliwaza hay ohayo, ndio maana alitoa sadaka nyingi kuliko hata zako. Lakini kuna mambo ambayo alikuwa nayo, yasiyompendeza Mungu.

    1. Mungu ameandaa matendo mema kwa ajili yako, sii kwa wanyama na viumbe vingine
    2. Mungu ameweka wokovu sii kwa ajili ya kitu kingine, ni wewe na mimi mwanadamu
    3. Mungu ameweka mema, baraka, uzima na furaha kwa ajili yetu wanadamu

    1. Kusudi la Mungu sii kuishi katika dhambi, tabia ulizozizoea sio za Mungu.         
    Baba yako ameziiga kwa baba wa kambo ambaye ni shetani Mdo 16:31

    Uongo, uzinzi, ulevi, bangi, madawa ya kulevya, uchawi, tama mbaya, uwizi, ujambazi, kwenda kwa waganga wa kienyeji, uasherati nk. Sio hayo yakupasayo kuyatenda mbele za Mungu, ingawa una dini sawa kama Kornelio. Rumi 10:9

                        i.            Kuanzia leo chukua hatua ya kuacha, Mungu anakupenda Galatia 5:16-22
                      ii.            Ukiamua kuokoka kwa akili zako, huwezi kujiokoa hata kama umesoma sana. Jehanamu haikuogopi, itakumeza.
                    iii.            Acha ubishi chukua Roho ya Mungu ya utii, utakula mema ya nchi mpendwa. Rumi 6:23
                    iv.            Dhambi imeleta magonjwa, mauti, laana, chuki nk

    Mungu akubariki. Ni mimi Rev Razaro Emanuel Mpinga


    UKENGEUFU WA WALOKOLE WA SASA na Mchg Lazaro E. Mpinga



    UKENGEUFU WA WALOKOLE WA SASA
    1)  MAANA YA UKENGEFU WA SASA 1 Tim 4:1-4; 2 Tim 3:1-8
    a.   Kukengeuka na kuacha njia ya Bwana. 1 Tim 1:18-20
    b.   Kuishi kinyume cha Mungu. Galatia 1:6-9
    i.    Maisha ya dhambi
    ii.   Kukosa utii kwa Mungu
    iii.  Kutofanya mapenzi ya Mungu

    c.   Kuacha maadili mema ya kiroho
    i.          Kuishi kinyume cha awali
    ii.         Kuchukua mambo mageni
    iii.        Kuhanguka kiroho

    2) UKENGEFU UNAVYOANZA KWA MTU
    a.         Kufuata mambo ya dunia
    i.    Elimu na ujuzi wa kiulimwengu
    ii.   Kufuata hadithi na michezo ya mipira
    iii.  Kutotii neno laMungu
    iv.  Kuacha ibada na maombi
    v.   Mazoea ya kiroho na ibada
    vi.  Hofu ya Mungu kutoweka ndani ya mioyo

    b.         Kudharau watumishi wa Mungu
    i.    Kubagua huduma
    ii.   Kuwa na mtazamo wa kimwil

     3) BAADHI YA WATU WALIOKENGEUKA

    A. SAULI 
    I.          Alikosa utii kwa Mungu
    II.        Alikosa uaminifu
    III.       Alikosa hofu ya Mungu

    B. SAMSONI
    I.       Kwa sababu ya wanawake
    II.      Kwa tama zake za udanganyifu
    III.     Kwa sababu ya kupenda anasa

    4) UKENGEUKU KWA KINA MAMA
    a.  Kwa mavazi yao 1 Tim 2:9-11
    b.  Katika ndoa zao
    i.   Wanapenda maisha ya raha
    ii.  Hawapendi kufanya kazi

    5) UKENGEUFU KWA KINA BABA
    a.  Kukosa uaminifu katika Ibada
    b.  Wametingwa na shughuli za kutafuta pesa
    c.  Wanapenda kukaa kwenye bao na michezo ya mipira
    i. Kupenda mabinti wadogo
    ii. Kutotunza familia zao vizuri

    5) UKENGEUFU KWA WACHUNGAJI
    a.  Ubinafsi na uchoyo
    b. Kukosa upendo
    c. Kiburi cha uzima
                       i. Kuacha kusudi la wito wao
                     ii. Kufundisha utoaji bila utakatifu
                  iii. Kupenda utukufu
                  iv. Kuanguka

    6) HITIMISHO
    a.  Hivyo kanisa lipo katika hali ngumu sana kulingana na ukengeufu huu
    b. Twapaswa kukesha katika maombi saa zote
                       i. Neno la Mungu ndio silaha kuu
                     ii. Kudumu katika upendo wa kimungu
                  iii. Uvumilivu ndio tabia ya watu wa Mungu.